@wanaumeeconnect · 1.5K subscribers
Mwanaume ni kichwa, Mamlaka ulipewa na Mungu |Hatuhitaji Chama Cha Utetezi| Tunahitaji umoja wetu #JukwaaLaWanaume #Life
The short link opens the channel straight in the Telegram app — not in a browser tab.
tg.me/go/wanaumeeconnectIs this your channel? Add @tgme as admin — and see how many people click your links. Get the stats →
Channel created February 19, 2024per Telegram
We have been tracking it since July 20, 2026
In all that time the channel has changed neither its name, nor its @username, nor its avatar.
We show only what we have seen ourselves.
2 advertisers placed 2 creatives in this channel · est. CPM $1–5.
[media, no text]
Insulin resistance ni chanzo cha ishu nyingi ikiwemo kisukari, presha, cholesterol kuzidi, magonjwa ya moyo, figo kufeli n.k Insulin resistance husababishwa na ulaji mwingiwa wanga, sukari, ngano, kula mara kwa mara, kula muda mbaya n.k Insulin resistance haina dalili wala maumivu yeyote ila dalil…
Asilimia 80 ya kolesteroli yako hutengenezwa na ini. Kwa hiyo, kulingana na nadharia ya kolesteroli na ugonjwa wa moyo, je, ini lako linajaribu kukuua? Ini lako hutengeneza asilimia 80 ya kolesteroli kwa makusudi kwa sababu mwili wako unaihitaji kuendelea kuishi. Homoni. Utendaji wa ubongo. Ukara…
Dear wafalme, Wanawake ni wabovu kwenye makuzi ya watoto hasa pale unapokuwa Mwanaume dhaifu. Kadri unavyopunguza makali yako ili mwanamke akupende huanza kukuchukulia wa kawaida na heshima yako hupungua. Huanza kujihisi anamudu masculinity chaos hivyo atapambana muachane na anajua Dunia na mahak…
Dear wafalme, Wanawake hawana huruma kabisa kwa wanaume laini, nice guys "Sikuwahi kumpenda" "Sikuwahi kumuomba zawadi wala gari" "Niko na yuleyule mwanaume aliyempiga kwa kunitongoza. Lol" "Tutaonana mahakamani, Bwana Nice Guy" Ninaposema Mwanaume imara sio Kimwili Bali kuhisia na ukomavu wa kiak…