Nimekuja kugundua wengi wana homa. Tumia hii; Kitunguu saumu + Tangawizi + Limao + Asali husaidia kutibu: 🌿Kifua kikuu 🌿Mafua na homa 🌿Kinga ya mwili iliyo dhaifu 🌿Maumivu ya viungo (arthritis) 🌿Nimonia 🌿Maumivu ya koo 🌿Homa 🌿Kikohozi 🌿Cholesterol ya juu Chukua kiasi sawa cha kitunguu saumu na tangawizi. Visage pamoja na juisi ya limao, asali, na maji kidogo. Kisha chuja ili kupata majimaji yake. Kunywa vijiko viwili vya chakula mara mbili kwa siku. Asili Inatibu.
2April 24, 2026 1.1K