@infinitekiumeni · 885 subscribers
JIFUNZE. Kumtongoza Mwanamke Unayempenda, Kumpata na Kuwa Naye Kimahusiano, Kudumisha Mahusiano na Ndoa, Kuongeza Nguvu za Kiume, Kumridhisha Kitandani, Maneno Matamu ya Kumsifia na Kumfanya Mwanamke Akupende Zaidi, Kumrudisha Ex Wako.
The short link opens the channel straight in the Telegram app — not in a browser tab.
tg.me/go/infinitekiumeniIs this your channel? Add @tgme as admin — and see how many people click your links. Get the stats →
Channel created February 13, 2023per Telegram
We have been tracking it since August 17, 2026
In all that time the channel has changed neither its name, nor its @username, nor its avatar.
We show only what we have seen ourselves.
Usijilinganishe na mtu mwingine Usimlinganishe mke wako na mke wa mwingine. Jivunie uliyenaye na ambaye umepanga kujenga naye maisha. Mlinganishe maisha yake ya sasa na mwaka uliopita. Na sio umlinganishe na mwanamke mwingine nje.
Usimpe mwanamke uhuru kupitiliza. Lazima umfanye aone yupo chini ya utawala fulani na sio kama vile yupo kivyake. Usimmbane kupitiliza lakini asijione yupo huru sana. Lazima awe na uoga fulani na awe na kitu cha kupoteza. Japo unaweza kuambia mwache na uhuru wake lakini usifanye hivyo, utaumia.
Changamoto inapoteza ugumu wake pale unapoitatua. Mechi tamu inapoteza utamu wake wa mwanzo ukishaiangalia. Muvi nzuri inapoteza ule uzuri wa mwanzo ukishaiangalia. Na baada ya muda inaboa na unapotezea maisha yanasonga. Hata wewe ukipoteza uongozi wako utakuwa unaboa. Na mwanamke ataona hana i…
Ukitaka kufaidi mahusiano, usitake yawe yakikamilifu Kubali mapungufu yalipo. Lakini, usikubali maudhi na makusudi. Hivyo, tambua tofauti ya mapungufu na makuzi/ maudhi/ makusudi/ tabia zisizofaa. Mapungufu unaweza kuvumilia, ila hivyo vingine si vya kuvumilia.