@sirizaplayboy · 534 subscribers
The short link opens the channel straight in the Telegram app — not in a browser tab.
tg.me/go/sirizaplayboyIs this your channel? Add @tgme as admin — and see how many people click your links. Get the stats →
Channel created February 25, 2024per Telegram
We have been tracking it since August 18, 2026
In all that time the channel has changed neither its name, nor its @username, nor its avatar.
We show only what we have seen ourselves.
Asilimia 80 ya kolesteroli yako hutengenezwa na ini. Kwa hiyo, kulingana na nadharia ya kolesteroli na ugonjwa wa moyo, je, ini lako linajaribu kukuua? Ini lako hutengeneza asilimia 80 ya kolesteroli kwa makusudi kwa sababu mwili wako unaihitaji kuendelea kuishi. Homoni. Utendaji wa ubongo. Ukara…
Kama AI angepata kansa, angefanya hivi! Hakikisha unafanya mazoezi hasa kunyanyua vitu vizito, unafunga, unakula vizuri, unatembea, unapata mwanga wa jua, kulala & kunywa maji vizuri. Pia kumbuka, usichoweza kula hakikisha hukupati kwenye ngozi yako. We are moving.
[media, no text]
Wanaume, uwezo wako kitandani unategemea kwa asilimia 80 kile unachokula kila siku - hakuna miujiza. Wanaume wengi wanakula matakataka na vyakula vya ovyo, halafu wanatarajia kuwa na nguvu za farasi dume kitandani - hiyo haiwezekani. Tilia mkazo vyakula hivi 7 na utakuwa na nguvu zaidi kitandani (…
Nimetumia Siku nyingine ya Wapendanao nikiwa nimevaa nepi kwa sababu ya njia za uzazi wa mpango. Leo inatimiza miaka 2 tangu nianze kuvaa nepi kwa sababu ya sindano ya uzazi wa mpango ya miezi 2 niliyopata kliniki. Nilikuwa natokwa na damu nyingi sana kila siku kwa kiwango ambacho siwezi tena kutumi…