PROGRAM YA WAFALME - RATIBA YA WIKI 1. Amka 4am 2. Kaa kwenye kona na be grateful kwa kuamka 3. Kunywa glass ya maji yenye chumvi kidogo 4. Piga push-ups 50, Squats 50 na crunches 50 5. Fanya mazoezi ya kegel kwa dakika 15 6. Piga mswaki kwa mkono wa kushoto, usitumie dawa zenye fluoride 7. Oga maji ya baridi, usitumie sabuni zenye kemikali nyingi 8. Achana na mlo wa asubuhi hupati kitu zaidi ya ngano na sukari 9. Kula aina moja ya protini kila siku aidha nyama, samaki au mayai 10. Usiangalie taarifa ya habari wiki hii 11. Soma makala za afya - Usitumie Google 12. Panda ngazi sio lift, tembea hatua 6k kila siku 13. Usile baada ya saa mbili usiku 14. Meza vitunguu swaumu punje 3 na maji ya kawaida au vuguvugu 15. Lala mapema, epuka scrolling distractions. Ikawe wiki njema kwako na familia
8
1
1