Dear wafalme, Wanawake hawana huruma kabisa kwa wanaume laini, nice guys "Sikuwahi kumpenda" "Sikuwahi kumuomba zawadi wala gari" "Niko na yuleyule mwanaume aliyempiga kwa kunitongoza. Lol" "Tutaonana mahakamani, Bwana Nice Guy" Ninaposema Mwanaume imara sio Kimwili Bali kuhisia na ukomavu wa kiakili pia - sikia, unaweza kuwa mbavu na bado ukawa mpumbavu. Najua misuli ni ishara namba moja ya Mwanaume anayejiheshimu lakini Kuna soy boys wameingia gym wamejaza miili ila akili zao ziko empty. Huyu jamaa anaitwa Larry Wheels. Ni bodybuilder, jina lake la utani hujiita "strongman" Ameachwa na Mke wake, Influencer wa mazoezi Šejla Đakovac, na Larry bado alivyokuwa-simp, alisema ataendelea kugharamia maisha ya Šejla pamoja na kuitunza gari (Bentley) aliyomnulia. Larry ni mtu anayedhani misuli, zawadi, hela na kumnyenyekea Mwanamke ingemsaidia, fikra potofu badili hiyo, hata misuli yako iwe mikubwa kiasi gani kama utaendelea kuwa simp hakuna kitakachobadilika. Haijalishi una pesa kiasi gani au unajitoa kiasi gani, kama wewe ni simp, wanawake bado watakutumia na kukuacha. Masimp siku zote wanapoteza muda, pesa, heshima (Losers). Lesson; -Mwanamke anataka kuongozwa, sio usawa -Huwezi kumbadilisha Mwanamke asiyekupenda kwa zawadi -Pesa unazompa zinanunua uchi wake, uchi ambao mwingine anapewa Bure -Kugombana na Mwanaume mwingine kwa sababu ya mwanamke asiyekutaka ni ushamba -Hakuna kitu utafanya ili mwanamke akupende, kama asipokupenda mwenyewe -Wanawake hawana huruma juu ya wanaume dhaifu -Wanawake hawajali kuhusu sadaka wala unavyojitoa kwao Focus na michongo yako, Mwanamke anayekutaka atakufanyia wepesi kwenye kila kitu ili kumpata, sometimes anaweza kukutongoza mwenyewe kwa sababu upendo una nguvu hivyo kamwe usimuone Malaya. Jiunge nasi kwenye group la wafalme Leo, https://whatsapp.com/channel/0029VaD731LJpe8p59Cs943d #mfalme #mfalmewax
Dear wafalme, Wanawake hawana huruma kabisa kwa wanaume laini, nice… — WANAUME CONNECT — TG.ME
May 21, 2026 1.1K