Dear wafalme, Wanawake ni wabovu kwenye makuzi ya watoto hasa pale… — WANAUME CONNECT — TG.ME

Dear wafalme, Wanawake ni wabovu kwenye makuzi ya watoto hasa pale unapokuwa Mwanaume dhaifu. Kadri unavyopunguza makali yako ili mwanamke akupende huanza kukuchukulia wa kawaida na heshima yako hupungua. Huanza kujihisi anamudu masculinity chaos hivyo atapambana muachane na anajua Dunia na mahakama zitamsaidia. Hii ni Moja ya familia ambayo ilikuwa na Dad na sio Father. Huyu mwanamke amewachukua watoto wake wamsaidie kumpata Mwanaume atakayelipa Bill zake. Anajua hawezi kulea peke yake ndio maana anatafuta mwanaume kwenye uzee wake, Anajiuza kwa staili ya namna yake sana ili apate ulinzi wa Mwanaume, fedha lakini pia awe na utawala juu ya huyu Mwanaume. Kila kitu kimepangwa kama mnavyoona. Sikia wanawake hawawezi kulea mtoto pekee yao ila udhaifu wa wanaume wa sasa umefanya wavae masculinity role. Na kumbuka pia, single mothers hawahitaji upendo wala mapenzi yako, wanachohitaji ni msaada wako na kamwe usitarajie atakupenda kama anavyowapenda watoto wake. Follow for more @mfalmewax

❤2
May 21, 2026 1.4K