Insulin resistance ni chanzo cha ishu nyingi ikiwemo kisukari, presha, cholesterol kuzidi, magonjwa ya moyo, figo kufeli n.k Insulin resistance husababishwa na ulaji mwingiwa wanga, sukari, ngano, kula mara kwa mara, kula muda mbaya n.k Insulin resistance haina dalili wala maumivu yeyote ila dalili ya kwanza kubwa no kitambi. Mtu mwenye insulin resistance Inamchukua miaka 5-10 kupata kisukari. So kitambi sio ishara ya maisha mazuri ila ni bomu la sekunde kulipuka. Kuelekea mwezi wa 12 (December) mwezi wa sikukuu kuna program ya kupungua uzito na kujenga mwili nimeandaa kwa ajili yako. Bado miezi 6 tu kufika Christmas na Mwaka mpya, miezi hii inatosha kukufanya usherekee na familia & marafiki ukiwa na mwili mpya kabisa, anza sasa. Kama Unahitaji kusimama na kuongozwa Kwenye safari hiyo kwa diet au mazoezi nitumie neno COACH WhatsApp 0628908800, nitakupa muongozo. Kujiunga na channel yangu, https://whatsapp.com/channel/0029VbBVv5n4Y9lf6q7gdX0l #ommyfitness #trainerwataifa
3