MAREKANI: Takribani miaka 30 tangu kifo cha Tupac Shakur (2Pac), Duane “Keffe D” Davis (63) aliyekuwa kiongozi wa genge la South Side Compton Crips, amepatikana na hatia. Kesi hiyo ilitumia Kitabu cha Kumbukumbu alichochapisha Davis Mwaka 2019 ambapo alisimulia kuwa yeye ndiye aliyetoa silaha iliyotumika kumuua Tupac.
Keffe D na Wakili wake walidai simulizi hiyo ilikuwa ni hadithi za kubuni na majigambo yaliyolenga kuuza vitabu lakini Mahakama haikuzingatia utetezi huo.
Soma https://jamii.app/HukumuKifo2pac
#JamiiForums #JFSheria
September 3, 2026 92



