UPDATES: Agosti 4, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliandika "Mitaa ya Kariakoo (Mkunguni, Tandamti, Sikukuu, Congo) maji taka ya chemba yamesambaa, si salama kwa afya."
Mdau, eneo gani lingine la Umma linahitaji kufanyiwa maboresho upande wa maji taka?
Fuatilia zaidi https://jamii.app/MajiTakaTandamti
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
September 3, 2026 64

