BOTSWANA: Akihojiwa na eNCA’s CheckPoint Podcast, Rais wa Botswana, Duma Biko amesema uongozi unapaswa kuchukuliwa kama kazi ya muda, si utambulisho wa kudumu wa Mtu, unahitaji nidhamu na unyenyekevu.
Aidha, amegusia changamoto ambazo Serikali mpya hukutana nazo inapokabidhiwa mamlaka kutoka kwa utawala uliokaa muda mrefu, ikiwemo kurithi mfumo wa utumishi wa umma uliokuwepo. Amesisitiza marekebisho yanapaswa kufanyika kwa kuzingatia sheria, usawa na Utawala wa haki.
Fuatilia zaidi https://jamii.app/DumaMadaraka
#JamiiForums #Governance #AfricanPolitics #Accountability
September 3, 2026 126