Hatua hiyo imefikiwa baada ya ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi… — JamiiForums — TG.ME

Hatua hiyo imefikiwa baada ya ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Dkt. Batilda Burian alipoongozana na Mkuu wa Wilaya ya Muheza, Ayubu Sebabili kufanya kikao cha wazi wakazi hao, ambapo Kaya 67 zilikuwa zimesalia.

Ikumbukwe, Agosti 17, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliandika “Kaya 67 katika Kitongoji cha Bago, Kijiji cha Msakangoto na Kata ya Kigombe tumebomolewa makazi yetu, tunalala nje, tunaambiwa Mwekezaji atupe laki 2 tuondoke!”

Zaidi https://jamii.app/Kaya67Kuhama

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
September 4, 2026 27