DAR: Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu… — JamiiForums — TG.ME

DAR: Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ameyasema hayo Septemba 3, 2026, alipokuwa Mahakamani kwenye mwendelezo wa Kesi inayomkabili ya shitaka la uhaini.

Shauri hilo la Namba 19605/2025 litaendelea Septemba 4, 2026 ambapo hatua itakayofuata ni ya maswali ya dodoso (Cross Examination) kutoka kwa mawakili wa Jamhuri.

Zaidi https://jamii.app/LissuWaoga

#JamiiForums #JFSheria
September 3, 2026 124