CHINA: Mamlaka zinaendelea kusafisha mifereji na kuondoa tope na taka… — JamiiForums — TG.ME

CHINA: Mamlaka zinaendelea kusafisha mifereji na kuondoa tope na taka ili kurahisisha maji kutiririka, baada ya mvua kubwa zinazoletwa na Kimbunga Saudel kusababisha mafuriko katika mikoa ya Fujian na Zhejiang.

Soma https://jamii.app/KimbungaMafurikoChina

#JamiiForums #HaliYaHewa #JFMatukio
September 4, 2026 115