Ufafanuzi huo umetolewa baada ya Wadau kuhoji manufaa ya Bwawa la Kuzalisha Umeme la Julius Nyerere (JNHPP) lililopo Mto Rufiji na wengine kuulizia kama kukamilika kwake kunaweza kushusha bei ya umeme.
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema “Kuhusu bei ni suala la sera ambapo lazima uangalie gharama za uendeshaji, hata hivyo jukumu la kupandisha au kushusha gharama lipo kwa Mdhibiti wa Huduma za Umeme na Maji (EWURA).
Shiriki https://jamii.app/BwawaLaNyerereUmeme
#JamiiForums #JFHuduma #JFMdau2026
September 4, 2026 71


