JamiiForums: post #52344 — TG.ME

SINGIDA: Awali, Agosti 31, 2026, Mdau wa JamiiForums.com alidai baadhi ya Wanafunzi wa Darasa la Saba katika Shule ya Msingi Mitundu B iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Itigi wanasoma hadi usiku bila kula, hali inayoweza kuathiri afya na uelewa wao.

Fuatilia zaidi https://jamii.app/ChakulaWanafunziItigi

#JamiiForums #JFMdau2026 #JFElimu
September 3, 2026 115