DODOMA: Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba ameyasema Bungeni leo, Septemba 3, 2026 wakati wa Mjadala wa Maswali na Majibu.
Mara kadhaa Wadau wa JamiiForums.com wamekuwa wakihoji malipo hayo, mfano Januari 5, 2026, mmoja aliandika "Mafao ya Wanajeshi waliopigana Vita ya Kagera imekuwa ahadi isiyotekelezeka". Desemba 19, 2024, Mdau mwingine aliandika "Sijalipwa malipo ya Vita ya Kagera, nikifuatilia naambiwa hakuna anayedai".
Zaidi https://jamii.app/MaveteraniKulipwa
#JamiiForums #Utawala #Governance
September 3, 2026 125