Ikumbukwe Wadau wa JamiiForums.com wamekuwa wakitoa hoja ya kukosa huduma ya maji, mfano Oktoba 7, 2025 Mdau aliandika "Janga la uhaba wa maji ni kubwa kwa wakazi wa MailiMoja – Kibaha (Pwani), shida ni kubwa mno", Julai 6, 2026, mwingine aliandika "Kibaha Kwa Mbonde tumesahau huduma ya DAWASA, tukiwauliza wanasema maji hayana presha".
Zaidi https://jamii.app/MajiMuzezaYatoka
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
2September 2, 2026 151


