BTC/ALTCOIN UPDATE:
Kwanza kabisa Bitcoin Dominance inashuka kwa kasi sana sokoni
Wakati huo huo pair ya ETH/BTC inapanda kwa Kasi.
Mara nyingi inapotokea hivi, liquidity au mzunguko wa Altcoins (coin zingine tofauti na Bitcoin) huongezeka.
Hivyo tutegemee katika Robo ya mwisho wa mwaka, altcoins kupanda sana.
@TanzatoChannel
Sharing is Winning


