TANZATO CHÀNNÈL 🇹🇿Muhimu: 🇺🇸 Taarifa za mfumuko wa bei za marekani kutoka saa 9 na nusu alasiri ya leo 24 Oktoba. Kama mfumuko wa bei ukiwa chini kuna uwezekano ikapelekea soko la Bitcoin na sarafu zingine kupanda kwa kasi sana. Kama mfumuko wa bei ukiwa juu, inaweza kupelekea…🆕BREAKING: kiwango cha mfumuko wa bei cha marekani kimepungua kidogo. 🇺🇸 CPI (YoY): +3.0% (vs. +3.1% est.)🇺🇸 Core CPI (YoY): +3.0% (vs. +3.1% est.)t.me/TanzatoChannel/759October 24, 2025 771