Muhimu: 🇺🇸 Taarifa za mfumuko wa bei za marekani kutoka saa 9 na nusu alasiri ya leo 24 Oktoba.
Kama mfumuko wa bei ukiwa chini kuna uwezekano ikapelekea soko la Bitcoin na sarafu zingine kupanda kwa kasi sana.
Kama mfumuko wa bei ukiwa juu, inaweza kupelekea soko la Bitcoin na masoko mengine kushuka zaidi
Mara tu baada ya taarifa hii kutolewa inaweza kupelekea soko kupanda au kushuka haraka sana.
Tutatoa taarifa hapa na wale traders wa masoko mbalimbali ni muhimu kuzingatia taarifa hii.
@TanzatoChannel

3October 24, 2025 835 1