Hawa ndio waanzilishi wakuu wa miradi ya crypto kulingana na thamani… — TANZATO CHÀNNÈL 🇹🇿 — TG.ME

Hawa ndio waanzilishi wakuu wa miradi ya crypto kulingana na thamani ya miradi yao na miaka ya kuanzishwa:

🟧 Satoshi Nakamoto (Bitcoin)
💰 Thamani ya Mradi: $2.12 Trilioni
📅 Ilianzishwa: 2009

💜 Vitalik Buterin (Ethereum)
💰 Thamani ya Mradi: $588 Bilioni
📅 Ilianzishwa: 2015

🟡 Changpeng Zhao (Binance)
💰 Thamani ya Mradi: $150 Bilioni
📅 Ilianzishwa: 2017

Wengine ni Brian Armstrong mwanzilishi wa Coinbase pamoja na JackDorsey mwanzilishi wa Twitter ambaye baadae akaanzisha Kampuni ya Bluesky.

Thamani hizi zinaonyesha ukubwa na nguvu ya miradi hii kwenye soko la sarafu za kidijitali mwaka 2025

@TanzatoChannel
🔥2
November 20, 2025 834