Habari za Hivi Punde: Kampuni ya magari ya kifahari Lamborghini… — TANZATO CHÀNNÈL 🇹🇿 — TG.ME

🚨 Habari za Hivi Punde:
Kampuni ya magari ya kifahari Lamborghini yazindua rasmi wallet ya kwanza ya Bitcoin yenye chapa yake leo.

Hatua hii inazidi kuimarisha matumizi ya Bitcoin duniani kote 📌.

@TanzatoChannel
🔥4
December 6, 2025 962 1