@nahjusalaf · 2.2K subscribers
Qur-aan Na Sunnah Kwa Ufahamu Wa Wema Waliotangulia
The short link opens the channel straight in the Telegram app — not in a browser tab.
tg.me/go/nahjusalafIs this your channel? Add @tgme as admin — and see how many people click your links. Get the stats →
Channel created August 11, 2022per Telegram
We have been tracking it since July 21, 2026
In all that time the channel has changed neither its name, nor its @username, nor its avatar.
We show only what we have seen ourselves.
1 advertiser placed 1 creative in this channel · est. CPM $1–5.
📒📒 Wanachuoni wengi miongoni mwa Salaf na baada yao wamechukulia aya hii pamoja na dalili nyingine kuwa zinaonyesha wajibu wa kufunika uso mbele ya wanaume wasio maharimu. Niqab kwao ni sehemu ya hijab ya Kisharia.
💫💫💫 Moyo ukiwa mbali na Qur’an huwa mgumu na wenye huzuni. Qur’an ni tiba, nuru na uongofu kwa anayesoma na kuitafakari.
🖱️🖱️🖱️ 👉 Leo watu wengi hujifunza dini kupitia clips na posts bila kuchunguza nani anayezungumza. Chukua dini kutoka kwa watu wa Sunnah na elimu sahihi.
[media, no text]
💫💫💫 SIKU BORA KWENU 👉 Siku bora zaidi ambayo jua limeichomozea ni siku ya Ijumaa