📒📒 Wanachuoni wengi miongoni mwa Salaf na baada yao wamechukulia aya hii pamoja na dalili nyingine kuwa zinaonyesha wajibu wa kufunika uso mbele ya wanaume wasio maharimu. Niqab kwao ni sehemu ya hijab ya Kisharia.
2June 3, 2026 720 1

2