العهد الذي بيننا وبينهم الصلاة فمن تركها فقد كفر 👉 Swala si jambo la… — Nahjusalaf Online — TG.ME

🤞🤞🤞 العهد الذي بيننا وبينهم الصلاة فمن تركها فقد كفر 👉 Swala si jambo la ziada katika Uislamu. Ni uti wa mgongo wa dini. Anayeitunza, ameisitiri dini yake; na anayeipuuzia, ameweka maisha yake ya Akhera hatarini. 📢 Jiunge nasi kwenye Telegram kwa faida mbalimbali za Dini kwa ufahamu wa Salafus-Swaalih: 👉 https://t.me/nahjusalaf ---

May 27, 2026 457