Dhahabu imeweka historia ya kupanda na kufikia bei ya Dola 4,000 kwa ounce moja kwa mara ya kwanza katika historia.
Wawekezaji wengi wanakimbilia kununua dhahabu kama njia salama ya kuhifadhi mali zao kutokana na mivutano mbalimbali ya kimataifs na kupambana na mfumuko wa bei.
Kupanda huku kwa thamani ya dhahabu kunapelekea dhahabu kuwa njia bora zaidi ya muda wote ya kutunza thamani ya pesa (ultimate store of value).
@TanzatoChannel
Sharing is Winning

4October 8, 2025 707