ANGUKO Wiki hii limetokea tena anguko kubwa sokoni, Kitu kama hiki… — TANZATO CHÀNNÈL 🇹🇿 — TG.ME

ANGUKO
Wiki hii limetokea tena anguko kubwa sokoni, Kitu kama hiki kilitokea mwaka 2020 wakati wa COVID!

Etherium imeshuka kufikia kipindi cha anguko la FTX
Altcoins ( Coin zingine tofauti na Bitcoin) zimeshuka mnoo
Hisa za Nasdaq zimerudi zilikokuwa mwaka 2021

Je tutegemee soko kupanda Sanaa mwaka huu ( BULL RUN) kama wengine wanavyodhani ?

@TanzatoChannel
✅
👍7
April 8, 2025 1.2K 11 1