Radio Tehran (SW): post #16399 — TG.ME

Maafisa wa jeshi la Israel: Netanyahu anataka kushadidisha vita ili uchaguzi usifanyike

Maafisa waandamizi wa jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel wanamshuku waziri mkuu Benjamin Netanyahu kwamba anaweza akataka kushadidisha vita katika Ukanda wa Ghaza ili kujaribu kuvuruga au kuahirisha uchaguzi ujao wa bunge wa utawala huo ghasibu.

https://parstoday.ir/sw/news/west_asia-i140886-maafisa_wa_jeshi_la_israel_netanyahu_anataka_kushadidisha_vita_ili_uchaguzi_usifanyike
August 23, 2026 7