Radio Tehran (SW): post #16403 — TG.ME

Malik Agar: Chaguo letu ni suluhisho la kijeshi hadi mazingira ya mazungumzo yatakapotimizwa

Malik Agar, naibu mkuu wa Baraza Kuu la Utawala nchini Sudan, amesema kwamba chaguo la sasa ni suluhisho la kijeshi mpaka pale mazingira ya kufanyika mazungumzo yatakapotimizwa, akisisitiza kwamba Khartoum inalitaka kundi la Rapid Support Forces (RSF) kuondoka katika miji na maeneo ya makazi ya raia kabla ya mazungumzo yoyote kuanza.
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i140904-malik_agar_chaguo_letu_ni_suluhisho_la_kijeshi_hadi_mazingira_ya_mazungumzo_yatakapotimizwa
August 23, 2026 10