Radio Tehran (SW): post #16396 — TG.ME

Katibu Mkuu wa UN: Hatua kali zaidi zichukuliwe kukomesha ubaguzi kwa sababu ya dini

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ametoa wito wa kuchukuliwa hatua zaidi kukomesha vurugu na ubaguzi dhidi ya watu kwa sababu ya dini au imani yao, akionya kuwa mashambulizi dhidi ya jumuiya za kidini ni shambulio dhidi ya haki za binadamu na utu wa binadamu.

https://parstoday.ir/sw/news/world-i140892-katibu_mkuu_wa_un_hatua_kali_zaidi_zichukuliwe_kukomesha_ubaguzi_kwa_sababu_ya_dini
August 23, 2026 6