Iran yalaani vikwazo vipya vya Marekani na kuvitaja kuwa hujuma dhidi ya mamlaka ya nchi
Iran imelaani vikali vikwazo vipya vya kiuchumi vilivyotangazwa na Marekani, ikisema hatua hiyo ni ukiukaji wa mamlaka ya kujitawala nchi huru na jaribio la Washington la kujipa mamlaka juu ya mataifa mengine.
https://parstoday.ir/sw/news/iran-i140878-iran_yalaani_vikwazo_vipya_vya_marekani_na_kuvitaja_kuwa_hujuma_dhidi_ya_mamlaka_ya_nchi

August 23, 2026 5