Meja Jenerali Safavi: Jina la Iran linapaswa kuwa jinamizi la daima kwa tawala vamizi
Mshauri Mkuu wa Kiongozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Meja Jenerali Sayyed Yahya Rahim Safavi, amesema uzoefu wa Iran katika vita na makabiliano yake na Marekani na utawala wa Israel unaonesha umuhimu wa kuimarisha uwezo wa kiulinzi na kujenga nguvu ya kuzuia uchokozi.
https://parstoday.ir/sw/news/iran-i140880-meja_jenerali_safavi_jina_la_iran_linapaswa_kuwa_jinamizi_la_daima_kwa_tawala_vamizi
