Radio Tehran (SW): post #16377 — TG.ME

Kamanda wa majeshi ya Iran azionya nchi za Ghuba ya Uajemi kuhusu kulisaidia jeshi la Marekani
Mkuu wa Majeshi ya Iran amezionya nchi za kusini mwa Ghuba ya Uajemi kuhusu kulisaidia au kuliruhusu jeshi la Marekani kutumia ardhi za nchi hizo katika uchokozi wake dhidi ya Iran.
https://parstoday.ir/sw/news/iran-i140800-kamanda_wa_majeshi_ya_iran_azionya_nchi_za_ghuba_ya_uajemi_kuhusu_kulisaidia_jeshi_la_marekani
August 19, 2026 8