Sudan Kusini yazidisha jitahada za kukabiliana na Ebola katika mpaka wake na Kongo
Sudan Kusini imeimarisha ufuatiliaji wa maambukizi ya Ebola katika mpaka wake na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo harakati kubwa za watu kuvuka mpaka na matumizi ya njia zisizo rasmi zinaleta changamoto.
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i140780-sudan_kusini_yazidisha_jitahada_za_kukabiliana_na_ebola_katika_mpaka_wake_na_kongo

August 19, 2026 8