DAR: Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, amemaliza kujibu maswali ya dodoso kutoka kwa Wakili wa Serikali, Job Mrema, ikiwemo kuhusu matumizi ya fedha za ToneTone katika Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu, akiwa shahidi wa pili wa utetezi katika Mahakama Kuu.
Fuatilia zaidi https://jamii.app/MnyikaNaMremaMahakamani
#JamiiForums #JFSheria
September 2, 2026 74


