DAR: Wadau wa JamiiForums.com kwa nyakati tofauti wametoa Wito wa… — JamiiForums — TG.ME

DAR: Wadau wa JamiiForums.com kwa nyakati tofauti wametoa Wito wa marekebisho ya chemba zinazovujisha maji taka mitaa mbalimbali ya Kariakoo, wakidai hali hiyo imekuwa kero na tishio la usalama kiafya.

Mdau, una maoni gani?

Zaidi https://jamii.app/ChembaKariakoo

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
September 2, 2026 118