DAR: Mdau wa JamiiForums.com ameandika "Kuna muda abiria hukaa zaidi ya saa mbili kituoni kusubiria gari hasa Kituo cha Keko, kwa kuwa hakuna huduma ya vyoo wanalazimika kutoka nje ya kituo ili kupata huduma."
Zaidi https://jamii.app/VyooMwendokasi
#JamiiForums #JFMdau2026 #JFPublicHealth
September 2, 2026 180

