@Hora_Tech · 431 subscribers
Teknolojia imefikia wap?
The short link opens the channel straight in the Telegram app — not in a browser tab.
tg.me/go/Hora_TechIs this your channel? Add @tgme as admin — and see how many people click your links. Get the stats →
Channel created November 9, 2023per Telegram
We have been tracking it since August 23, 2026
In all that time the channel has changed neither its name, nor its @username, nor its avatar.
We show only what we have seen ourselves.
FACEBOOK DOWNLOAD VIDEO BOT 1 👇👇 inafanyakazi @FacebookAsBot BOT 2 👇👇 inafanya kazi @FBLoaderBot Nakili (Copy) link ya video ya Facebook unayotaka kupakua. Bandika (Paste) link hiyo kwenye bot na utume. Subiri sekunde chache, kisha bot itakutumia video tayari kwa kupakua. 📌 Jiunge na Hora Tech …
Jinsi Ya Kufungua Duka kwenye Facebook 🔵 Njia ya Kwanza: Kupitia Facebook Page Kama bado huna Page: ① Tengeneza Page Fungua Facebook Bonyeza Create Chagua Page Weka: Jina la duka Category (mfano: Clothing Store, Electronics Store) Maelezo mafupi ya duka ② Washa Shop Baada ya kuwa na Page: Ingia kw…
LUGHA TOFAUTI: Unajiteketeza Pasina Kujua 💫 Ulimwengu unaona bila macho na unasikia pasina masikio. Unaona kila kitu—iwe chema au kiovu—hata kabla hakijakufikia.
🔬 Sayansi ya Jasho: Ufuatiliaji wa Afya Bila Sindano! Wanasayansi wamepiga hatua kubwa kuelekea dawa zisizohitaji sindano kwa kutengeneza vijisensaz (nanosensors) vinavyoweza kuchambua jasho la binadamu! 🧪 🤔 Inafanyaje Kazi? Kwa kutumia sensa ndogo inayowekwa tu kwenye ngozi, inakuwa inawezekana ku…