DODOMA: Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Florence George, amesema hayo… — JamiiForums — TG.ME

DODOMA: Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Florence George, amesema hayo bungeni Septemba 2, 2026 kuhusu utekelezaji wa Bima ya Afya kwa Wote Awamu ya Kwanza.

Ikumbukwe kuwa, Aprili 16, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliandika “Bima ya Afya kwa Wote itamaliza vilio vya gharama kwa Wajawazito wanaojifungua kwa upasuaji?”

Pia, Agosti 27, 2026 Chama cha ACT Wazalendo kilisema “Kwa kasi iliyopo, utekelezaji wa mpango wa Bima ya Afya kwa Wote unaweza kuchukua takribani Miaka 20 kuwafikia walengwa wakuu.”

Nini maoni yako Mdau?

Fuatilia zaidi https://jamii.app/BimaZaAfyaKwanza

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFHuduma #JFMdau2026
September 3, 2026 120