Ni Shuhuda za Mashuhuda, Shuhuda za Mashabiki wapya wa AMAL CARPETS ambao wameonesha kufurahishwa na OFA kubwa ya makapeti iliyoanza katika Maduka ya AMAL CARPETS ( @amalcarpets ) kuanzia jana Ijumaa hadi October 5 2025.
Huyu ni miongoni mwa Wakazi wa Jiji waliojitokeza leo kununua makapeti hayo ambayo yameshushwa bei kuanzia shilingi elfu tatu, elfu 35, elfu 45 na kuendelea ambapo ni makapeti kwa ajili ya matumizi ya Majumbani na Maofisini yakipatikana katika Maduka ya AMAL yaliyopo Mlimani City, Aura Mall, Narung’ombe, China Plaza, Morocco Square, Mwenge Stendi, Amal Cocacola road au Amal Arusha.
“Kesho ni Jumapili na Maduka yetu yatakuwa wazi kuanzia saa nne asubuhi hadi saa nne usiku, tunawakaribisha sana Wakazi wa Jiji na Majirani kuchangamkia punguzo hili kubwa la bei”




















