Jinsi Ya Kufungua Duka kwenye Facebook 🔵 Njia ya Kwanza: Kupitia… — Hora Tech — TG.ME

Jinsi Ya Kufungua Duka kwenye Facebook

🔵 Njia ya Kwanza: Kupitia Facebook Page
Kama bado huna Page:
① Tengeneza Page
Fungua Facebook
Bonyeza Create
Chagua Page
Weka:
Jina la duka
Category (mfano: Clothing Store, Electronics Store)
Maelezo mafupi ya duka
② Washa Shop
Baada ya kuwa na Page:
Ingia kwenye Page yako
Nenda Settings
Tafuta sehemu ya Templates and Tabs
Hakikisha sehemu ya Shop ipo ON
Kama haipo:
Badili Template kuwa “Shopping” au “Business”

🛍 Njia ya Pili: Kupitia Meta Commerce Manager
Hii ni njia rasmi zaidi.
Nenda kwenye Meta Commerce Manager
Bonyeza Create a Shop
Chagua:
Njia ya malipo (Checkout via Messenger au Website)
Unganisha Page yako
Anza kupakia bidhaa (picha, bei, maelezo)
📌 Vitu Muhimu Utahitaji:
Picha nzuri za bidhaa
Bei wazi
Maelezo mafupi lakini yanayoeleweka
Njia ya mawasiliano (WhatsApp, Messenger)
❤1
February 25, 2026 441 1