Title :👇🏻 CHANGE PAMBA ONLINE
Kwai-Kolors/Kolors-Virtual-Try-On
🤖hii ni ai ambayo itakuvalisha nguo ambayo umeipakuwa mitandaoni , ingia google au popote pale pakua picha ya nguo uipendayo kisha utaingia kwa hii ai ,
Step :
1. sehemu iliyo andikwa "Person image" utapakia picha yako
2. sehemu iliyo andikwa "Garment image" utapakia picha ya nguo uliyo iDownload
- pia unaweza kutumia nguo za Mifano "Examples" utachagu tu ambayo unaitaji
ukiwa tayari uta bofya button ya " RUN " kisha utasubiri , ai hii ni bure kabisa haina kikomo ni wewe tu ku change pamba online
⚠️ Kanusho (Disclaimer):
Jaribio la Kolors-Virtual-Try-On lililopo kwenye ukurasa wa HuggingFace linatolewa bure kwa majaribio.
Mtu yeyote anayekudai malipo kwa huduma hizi za bure tunazotoa kupitia HuggingFace Space, anatenda kwa njia ya udanganyifu. kuwa Tahadhari na matapeli – usikubali kudanganywa.

September 30, 2025 907