🤖💆♂️ China yazindua saluni za massage zisizo na binadamu — kila kitu kinatolewa na roboti
Hakuna wataalamu wa massage, hakuna mazungumzo madogo — ni mkono wa roboti tu na utulivu unaotokana na teknolojia safi.
▫️ Bei: ¥99 ( Dola 13 )
▫️ Hakuna foleni, hakuna mapumziko, hakuna maswali ya “wapi panauma”
Kilakitu kinafanywa kupitia app — ni otomatiki kabisa. Inaonekana kama sinema ya kisayansi, lakini hii ni halisi tayari.
Je, huu ndio mustakabali wa massage? Huenda.
Mguso wa binadamu? Sasa ni hiari tu.
📢 @Hora_Tech
#china #massage #robot #binadam
"""""'""""""""""'"""""'""""""""""'"
✓Mbwa Read More...
✓Roboti Read More...
June 2, 2025 691 1