Udakutz: post #790 — TG.ME

Forwarded fromJAJamiiForums
SPIKA NDUGAI: KUNA WABUNGE WANATUMIA BANGI NA KUNYWA GONGO

> Amesema “Ni ukweli usiopingika kwamba yako mambo Watanzania hawayajui na huwa hatupendi sana kusema. Ni kweli baadhi ya Wabunge na hasa hao wenye fujo wanatumia #DawaZaKulevya, bangi, wanakunywa konyagi au gongo, anakuja pale sio yeye”

Soma - https://jamii.app/WabungeBangi
June 19, 2020 19.6K