Manuva max: post #173 — TG.ME

Siku 21 zimetosha kukamilisha hili jambo 💰🤑 Kwa siku nilikua nikipakia video mbili (2) tu Asubuhi na usiku. Hiz video sikua nikiitengeneza kwa kila siku bali kwa siku nilizokua na muda wa kufanya ivyo. Niliset video zijipost kila siku kwa muda niliotaka asubuhi na usiku. #manuvatips 🍀

March 27, 2025 606