Ushawahi kujiuliza kwa nini baadhi ya watu wanafanikiwa ?
Jibu mara nyingi ni tabia zao za kila siku na mitazamo ya maisha.
Mafanikio siyo tu kipaji, bahati, au hata kufanya kazi kwa bidii.
Bari ya nategemea na nidhamu pamoja na na jinsi mtu anavyofikiri na kukabiliana na changamoto.
#manuvatips 🍀
March 22, 2025 381