Ukiamua kufanya kitu hakikisha unakomaa nacho mwanzo mwisho, huwezi kufanya kitu “A” leo…Na kesho ukafanya kitu “B” na ukategemea kufahamika kama expert kwenye kitu A. “You have to stick to your Guns.”t.me/manuvamax/166TranslateMarch 13, 2025 397