1. Asset ambayo ni rahisi zaidi ni kuwa na Youtube Channel. Hii ni… — Manuva max — TG.ME

1. Asset ambayo ni rahisi zaidi ni kuwa na Youtube Channel.

Hii ni rahisi kwasababu

Unatengeneza youtube Channel yako. Unakuwa unatupia content kila siku mpaka ianze kukulipa.

pia kama hauna muda unaweza kumlipa mtu atengeneze video na kuzipakia mwenye. kwa bongo ni njia nzuri maana hakuna gharama sana.

unaweza kununua channel ambayo imetimiza vigezo vya kulipwa na kuanza kazi moja kwa moja.

Njia hii ni nzuri kwa sababu haitaji elimu kubwa sana kuendesha channel hata darasa la 4 ukimuelekeza anafanya.

HII NJIA MIMI NAITUMIA KUENDESHA MAISHA YANGU. KAMA UNASWALI COMMENT HAPO CHINI
March 5, 2025 364