Ni njia gani unaweza kuzitumia kupata pesa ukiwa umelala...??
Kuna kitu kinaitwa digital assets, hizi ni assets ambazo ukizitengeneza ukaziandaa vizuri zinaweza zikakuletea pesa nyingi sana ukiwa unafanya mambo mengine.
Nitakuelezea baadhi ya hizo assets.
March 4, 2025 356 1